YouTube
source

YouTube

(157 118 983)
Price
Free
Category
Video Players
Last update
Oct 03, 2024
Publisher
Loading...

Ratings & Reviews performance

Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.

Number of reviews,
total
157,118,983
Avg rating,
total
⭐4.1
Loading...

User Reviews for YouTube

Why to reply to reviews?face_screaming

User reviews affect conversion to installs and app rating. Featured and helpful reviews are the first to be noticed by users and in case of no response can affect download rate.

Description

2567 chars

Pakua programu rasmi ya YouTube kwenye kompyuta kibao na simu za Android. Angalia maudhui ambayo ulimwengu unatazama --- kuanzia video maarufu za muziki hadi maudhui maarufu katika michezo ya video, mitindo, urembo, habari, mafunzo na mengineyo. Anza kufuatilia vituo unavyopenda, kubuni maudhui yako binafsi, kushiriki na marafiki na kutazama kwenye kifaa chochote. Tazama na ufuatilie ● Pitia mapendekezo ya binafsi kwenye Ukurasa wa Kwanza ● Angalia maudhui mapya kwenye vituo unavyopenda katika sehemu ya 'Vituo Unavyofuatilia' ● Angalia video ulizotazama, kupenda na kuhifadhi ili utazame baadaye katika Maktaba Gundua mada tofauti, maudhui maarufu na watayarishi chipukizi (inapatikana katika baadhi ya nchi) ● Pata taarifa kuhusu maudhui maarufu katika muziki, michezo ya video, urembo, habari, mafunzo na mengineyo ● Angalia maudhui yanayovuma kwenye YouTube na kote duniani katika sehemu ya 'Gundua' ● Pata maelezo kuhusu Watayarishi, Wachezaji na Wasanii Chipukizi walio maarufu (inapatikana katika baadhi ya nchi) Wasiliana na jumuiya ya YouTube ● Endelea kufuatilia watayarishi unaowapenda kupitia Machapisho, Hadithi, Maonyesho ya Kwanza na Mitiririko ya Moja kwa Moja ● Jiunge kwenye mazungumzo kupitia maoni na uwasiliane na watayarishi na wanachama wengine wa jumuiya Buni maudhui kutoka kwenye kifaa chako cha mkononi ● Tunga au upakie video zako mwenyewe moja kwa moja katika programu ● Wasiliana na hadhira yako katika wakati halisi ukitumia mitiririko ya moja kwa moja kwenye programu Pata hali ya matumizi inayokufaa wewe na familia yako (inapatikana katika baadhi ya nchi) ● Kila familia ina njia yake ya kuchangamkia video za mtandaoni. Pata maelezo kuhusu chaguo zako: programu ya YouTube Kids au hali mpya ya utumiaji inayosimamiwa na wazazi kwenye YouTube katika youtube.com/myfamily Wasaidie watayarishi unaowapenda kupitia uanachama katika kituo (inapatikana katika baadhi ya nchi) ● Jiunge na vituo vyenye uanachama unaolipiwa kila mwezi ili uendeleze juhudi za watayarishi ● Pata uwezo wa kufikia manufaa maalum kwenye kituo na uwe mmoja wa wanachama wa jumuiya yake ● Tambulika katika maoni na magumzo ya moja kwa moja kupitia beji ya uaminifu inayowekwa kando ya jina lako la mtumiaji Jisajili kwenye YouTube Premium (inapatikana katika baadhi ya nchi) ● Tazama video bila kukatizwa na matangazo, unapotumia programu nyingine au wakati skrini ya kifaa imefungwa ● Hifadhi video ili uzitazame utakapohitaji – kama vile ukiwa safarini au kwenye ndege ● Fikia YouTube Music Premium kama sehemu ya manufaa yako

Screenshots

https://play-lh.googleusercontent.com/BxbaFv67YkqT48wc4-9ILNSmLYLb92mgkrAYdyBwI478H2s6UDTutAveNu7cOZFEeSghttps://play-lh.googleusercontent.com/lnfQ42Hslc6B_0A37YY_sNVPGEpND0YY0hcvjKLPCDB7dJNlDPn2ILICypeJxhecBQhttps://play-lh.googleusercontent.com/nD2LH9KrtYmdruRXUn2ZQypfPHViJ1UYB1fHDN7Ti5JOmq8qHd-54oBCAVNUqvGWYC8https://play-lh.googleusercontent.com/xCBJ9BRKffRi8orvRzLn-LcMPPc1A8QC383k8NldcIREeoprwffXPgM_m85yD61B1Nghttps://play-lh.googleusercontent.com/vOxdD2u-ys9J0U964Hle8gCzNAAht5-KR_xJcPCb1ukoGo_4ypD2nByU6wu-x8MUEw
Loading...
Loading...

Find growth insights on our blog

React to user feedback and market trends faster