WhatsApp Messenger
source

WhatsApp Messenger

(197 164 690)
editors_choice
Price
Free
Category
Communication
Last update
Oct 03, 2024
Publisher
WhatsApp LLC Contact publisher
View in store
Loading...

Ratings & Reviews performance

Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.

Number of reviews,
total
197,164,690
Avg rating,
total
⭐4.2
Loading...

Description

2250 chars

WhatsApp kutoka Meta ni programu ISIYOLIPISHWA ya kutuma ujumbe na kupiga simu za video. Inatumiwa na zaidi ya watu bilioni 2 katika zaidi ya nchi 180. Ni njia rahisi, ya hakika na faragha ya kutuma ujumbe, kwa hivyo unaweza kuwasiliana na ndugu na marafiki kwa wepesi. WhatsApp inafanyakazi kwenye vifaa vya mkononi na kompyuta hata kama muunganisho ni wa polepole, hutakiwi kulipa ada ya kujisajili*. Njia ya faragha ya kutuma ujumbe kote duniani Ujumbe na simu zako za binafsi kwenda kwa ndugu na marafiki hufumbwa mwisho hadi mwisho. Hakuna mtu nje ya mawasiliano yenu, hata WhatsApp yenyewe, anaweza kuyasoma au kuyasikiliza. Miunganisho rahisi na salama, papo hapo Unachohitaji ni nambari yako ya simu tu, huhitaji jina la mtumiaji au vitambulishi vya kuingia. Unaweza kuona watu unaowasiliana nao ambao tayari wanaitumia WhatsApp halafu uanze kuwatumia ujumbe. Simu za sauti na video za ubora wa juu Piga simu salama za sauti na video zinazowajumuisha hadi watu 8 bila malipo*. Unaweza kupiga simu kati ya vifaa vya mkononi kwa kutumia Intaneti ya simu yako, hata muunganisho ukiwa wa polepole. Soga za vikundi ili uendelee kujumuika Endelea kujumuika na ndugu na marafiki. Soga za vikundi zilizofumbwa mwisho hadi mwisho hukuwezesha kutuma ujumbe, picha, video na hati kati ya vifaa vya mkononi na kwenye kompyuta. Ungana mubashara Shiriki mahali ulipo na watu ulio nao katika soga ya binafsi au ya kikundi pekee, pia unaweza kuacha kushiriki wakati wowote. Au, rekodi ujumbe wa sauti kwa mawasiliano ya haraka. Shiriki matukio ya kila siku katika sehemu ya Hali Hali inakuruhusu kushiriki masasisho ya maandishi, picha, video na GIF zitakazotoweka baada ya saa 24. Unaweza kuchagua kushiriki hali yako na watu wote unaowasiliana nao au wachache tu unaowachagua. Tumia WhatsApp kwenye saa yako ya Wear OS ili kuendelea na mazungumzo, kujibu ujumbe na kupokea simu - yote kwenye mkono wako. Na, ongeza vigae na matatizo ili kufikia gumzo zako na kutuma ujumbe wa sauti kwa urahisi. *Unaweza kulipishwa kutumia data. Wasiliana na mtoa huduma wako kwa maelezo. --------------------------------------------------------- Ikiwa una maswali au maoni, tafadhali nenda kwenye WhatsApp > Mipangilio > Usaidizi > Wasiliana nasi

Screenshots

https://play-lh.googleusercontent.com/JTw987W8WOjTuQYjs_KT3NS2-J8NtU-c833cUizeUuVkbEDJvvsNTCs4D--YgBPbbUghttps://play-lh.googleusercontent.com/VOqnp62hea0jsdisMQJjVfoTa9nAPbehZNGA0FU4J4Y-Io8Or-_4ZFEn69f_VXZmT38https://play-lh.googleusercontent.com/-XhoG22SyFqjcPHxeA0auDjuKbFMo4T5DjU5D7XALowgh8OahqPxRDYgmeBUoEisDnwhttps://play-lh.googleusercontent.com/OsdGMmiKcnH-STr26V8YCH2vy4U7IBDLYm0Qd-anOJRZhERS6VLGZeC_lfvhOSCT9LqXhttps://play-lh.googleusercontent.com/fO8EWd4DrDrc-qPjk970qiloHMwZL_gTOeIthgW_nNkmBZt2tv8Da65FIfWkR3gczQhttps://play-lh.googleusercontent.com/kWO5RVmpLRAeVCJYI1K6cqxt6GRQtNYjiN9t3XHGgFimQEVEBHNDrauVgqm4fbb_DWDAhttps://play-lh.googleusercontent.com/bWBJnsxuk5n5vfx54PZUY1esxxKDdwoW9SgcnYkfD4OzOXdCBS2ktlDkbfqRheyBYghttps://play-lh.googleusercontent.com/Hea4DcPM2h9f75dSPkkz6lpXgFvXDzHRG7YBvFEihrzUqhCNJF-DTSGkXyFoa-ctvMQhttps://play-lh.googleusercontent.com/8LtKms_sYmD1YH-ucF-Y-PTWTdCr7zh7Aw4uLbvPLJhKzhr9hQYLX8no2IvXK3Z6TUXr
Loading...
Loading...

Find growth insights on our blog

React to user feedback and market trends faster