Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.
User reviews affect conversion to installs and app rating. Featured and helpful reviews are the first to be noticed by users and in case of no response can affect download rate.
Uber ni programu ya simu inayokupatia safari za haraka na za kuaminika—mchana au usiku. Hakuna haja ya kuegesha gari, kusubiri teksi au basi. Ukiwa na Uber, unausa simu yako tu na unaita gari, aidha ni rahisi kulipa kwa kutumia vocha au keshi kwa baadhi ya miji. Iwe unaenda uwanja wa ndege au mjini, usafiri wa Uber unapatikana kila mahali. Uber inapatikana katika zaidi ya miji 500 kote ulimwenguni—weka programu ya Uber na uanze kufurahia huduma zetu leo. Kuita usafiri wa Uber ni mboga kabisa—hivi ndivyo inavyofanya kazi: - Fungua programu na utuambie unakoelekea - Programu hii hutumia kipengele cha mahali ulipo ili dereva ajue mahali atakapokuchukua. - Utaona picha ya dereva wako, maelezo ya gari na utaweza kufuatilia safari yake ya kuja kukuchukua kwenye ramani. - Malipo yanaweza kufanywa kwa kutumia kadi ya vocha, keshi katika baadhi ya miji unaweza kutumia Android Pay, PayPal na mbinu nyingine. Baada ya safari, mkadirie dereva wako na utoe maoni ili utusaidie kuboresha huduma za Uber. Pia risiti ya safari yako kwa njia ya barua pepe. Unahitaji njia rahisi ya kusafiri kwa haraka? Chukua uberX, chaguo la bei nafuu kwa mtu binafsi Ungependa kuokoa pesa kwenye safari yako? Chagua uberPOOL—utasafiri na wasafiri wengine wanaoelekea unakoenda na ufurahie nauli nafuu. Ungependa kusafiri kwa starehe zaidi? Chagua UberBLACK kwa safari za starehe. Na bado kuna mambo mengi ya kuchagua—iwe unasafiri na watu wengine, au unahitaji gari lililoundwa mahsusi kusaidia walemavu. Angalia iwapo Uber inapatikana katika mji wako katika https://www.uber.com/cities Tufuatilie kwenye Twitter katika https://twitter.com/uber Tufuatilie kwenye Facebook katika https://www.facebook.com/uber Je, una swali? Tembelea uber.com/help. Maudhui/ujumbe wa Uber huenda ukatafsiriwa na binadamu au mashine kwa kifaa, usahihi hauhakikishwi.