Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.
Unasikia njaa? Tumia Uber kuletewa chakula unachopenda kutoka kwa mikahawa unayoipenda. Furahia chakula unachokipenda, mahali popote, wakati wowote. Tumia simu yako kupata chakula unachokipenda. Tafuta mikahawa na maeneo yanayouza chakula yaliyo karibu nawe ufurahie siku yako. Pia unaweza kupata chakula unachotaka kwa kutafuta mikahawa, chakula, au mlo mahsusi. Piza. Nyama choma. Baga. Chipsi kuku. Kama kuna chakula unatamani tumia Uber Eats. Ukiwa tayari kuagiza chakula, utaona eneo ambalo utaletewa chakula chako, pamoja na muda itakaochukua, na gharama utakayolipa pamoja na kodi na ada ya kuweka nafasi. Gusa kitufe ili utumie akaunti ya Uber, au uongeze kadi ya benki. Unaweza kufuatilia chakula kinapoletwa kwako. Kwa sasa Uber Eats inapatikana katika miji na viunga vya miji ya Abu Dhabi, Adelaide, Amsterdam, Atlanta, Auckland, Austin, Baltimore, Bogota, Brisbane, Brussels, Cape Town, Chicago, Dallas, Denver, Dubai, Hong Kong, Johannesburg, Glasgow, Liverpool, London, Los Angeles, Madrid, Melbourne, Mexico City, Miami, Milan, Moscow, Mumbai, Nashville, New Delhi, New Orleans, New York, Ottawa, Paris, Philadelphia, Rio de Janeiro, San Diego, San Francisco, Sao Paulo, Seattle, Stockholm, Sydney, Taipei, Tokyo, Toronto, Vienna, Warsaw, na Washington DC. Uber Eats inakusaidia kuletewa chakula unachokipenda ukiwa popote duniani. Agiza uletewe chakula ukiwa Australia, Ubelgiji, Brazil, Canada, Colombia, Ufaransa, Japan, India, Mexico, Nyuzilandi, Polandi, Urusi, Afrika Kusini, Uhispania, Taiwan, Milki za Kiarabu, Uingereza, Marekani, na miji mingine mingi. Maudhui/ujumbe wa Uber huenda ukatafsiriwa na binadamu au mashine kwa kifaa, usahihi hauhakikishwi. Huduma hii haipatikani jijini mwako? Tunaileta hivi karibuni! Nenda kwenye https://about.ubereats.com/cities/ uone orodha ya miji ambayo huduma hii inapatikana.