Mchezo wangu wa Tizi Princess
source

Mchezo wangu wa Tizi Princess

(10 051)
Price
Free
Category
Game Educational
Last update
Sep 08, 2023
Publisher
IDZ Digital Private Limited Contact publisher
Loading...

Ratings & Reviews performance

Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.

Number of reviews,
total
10,051
Avg rating,
total
⭐3.0
Loading...

Description

2095 chars

Ingia kwenye dunia ya binti wa mfalme & ujifanye unacheza ndani ya hekalu kubwa la binti wa mfalme. Upo tayari kwaajili ya maisha ya kifalme ndani ya hekalu? Hivyo anza uvumbuzi wako wa hekalu la kifalme la binti wa mfalme ndani ya mji mara moja! Hekalu la binti wa mfalme ni kubwa & kuna vyumba vingi vya kuvumbua. Jiunge nasi kwenye dunia hii ya kufikirika ambayo haina mipaka ya kufikiria.Chagua binti wa mfalme umpendae na tengeneza hadithi nzuri kwa ubunifu wako. VITU UNAVYOWEZA KUFURAHIA NDANI YA APP HII YA BINTI WA MFALME NI: ? Cheza Michezo ya Binti wa Mfalme Unaweza kutengeneza hadithi yako ya binti wa mfalme wewe mwenyewe ndani ya hekalu la kipekee.Ndani ya mchezo huu unaweza pia ukamvalisha kila binti wa mfalme. Chagua magauni mazuri na uonyeshe uelewa wako wa mitindo ndani ya michezo ya binti wa mfalme! ? Chumba cha Kiti Cha Kifalme cha Binti wa Mfalme Mfanye muusika aketi kwenye kiti cha kifalme chenye kung'aa na afanye mazungumzo ya kifalme.Kula vyakula vitamu na ongelea vitu vinavyotokea kwenye mji. Vumbua kila pembe ya chumba ili kupata siri zilizojificha! ? Jiko la Binti wa Mfalme Pindi binti yako wa kifalme asikiapo njaa, nenda jikoni na upate vitafunwa.walishe wahusika na andaa chakula zaidi kwaajili ya baadae! Kuna vitu vingi vya kutumia hapa. Mara zote kuna kitu kitamu kinaandaliwa ndani ya jiko la kifalme! ? Chumba cha Kulala Cha Binti wa Mfalme Kuza ubunifu wako wa kusimulia hadithi kwa kucheza kwa kujifanya. Ndani ya chumba cha kulala cha binti wa mfalme,unaweza kuangalia chumba kilicho tengenezwa vizuri na kilicho jaa vitu vizuri. Msaidie binti yako wa kifalme kujiandaa ndani ya nyumba yako ya mdoli.Kuwa mwana mitindo wa binti wa mfalme na uonyeshe ubunifu wako! ? Bustani ya Maajabu ya Binti wa Mfalme Nenda kwenye mapumziko ukiwa na mabinti zako wa kifalme & binti wa mfalme. Furahia mapumziko ya nje na marafiki zako wa kifalme. Ni dunia nzuri sana kwaajili ya wavulana na wasichana ambao wana wapenda mabinti wazuri wa kifalme! Utatumia muda mwingi ukiwa na furaha ndani ya mji huu. Usipitwe kwa vionjo hivi na pakua app hii SASA!

Screenshots

https://play-lh.googleusercontent.com/3LoKDB6gjFP-jd4uXfpuRRioziVpkvO989zT2le_TnvqQXnpF6jc7sJuzqzYuWu81ghttps://play-lh.googleusercontent.com/09WT88aBOhOP2CRNlUOuzkTE2DB_-CCPs5MPInkbcAyXgMlukymXzbFO-QaGm4kVhiYhttps://play-lh.googleusercontent.com/0o99Jo7md8rFLkcXiUfFXYO0I8LUYesa80halR0xKg0TL5hMhB-ZRB7ysY74KUZ2aIUhttps://play-lh.googleusercontent.com/-rH9fYa254JxOqY2_vEwKlTm8yDLMGh6YQRpyXZrOPHFnjdJ_9yDHbcM04HQyABLytMhttps://play-lh.googleusercontent.com/6-bSTLTv33lcoGNDW12Ibk3GWLvZC2RcdMdOkDUHNYtvV7B49K-QyAMqZtlyEdz3_p8https://play-lh.googleusercontent.com/iSlwhNtRl_3zSGCxNWJlwQc5rwpLfxb12vkmhjqpx6CFbO1Ako4I1Uxd0s7gIosvtmEhttps://play-lh.googleusercontent.com/AV2Ad3pXFstQWTCDtN78_7A5Llhsg7DE3X2a3pho43ysDFzwg1vj7ecjmuncQYWSGQhttps://play-lh.googleusercontent.com/a0s_cj4k-XDFwawBYjT87s0LLzycqD3NZOx4T0MsEHRmp_Iwriv6rd-aC9n4fuF8ynkhttps://play-lh.googleusercontent.com/ZcXJMdmoOA2blirTpbwhf3gmcXLAbSLxC_VcoyWoZp_uO4LC0kejdJ72DfyMjycfkTchttps://play-lh.googleusercontent.com/ZK2NBwJNI5EjXKHG2-M7cr-noJH_jE5U_yW8jXiB3_vqQo-lhhJoNQnE9Qzxb6PDhiEhttps://play-lh.googleusercontent.com/bjEJ-prN0fxb2VfFizdQhgLhsBna5BpxiNvD0dhGWPI0j30FSykWezaQGS3eO1Mehwhttps://play-lh.googleusercontent.com/2SBNxG32AI844MSS61G158pOKkRURea9B2HOa_O8GvL7d0KPhypbl3Uj0GCAaw6OSgYhttps://play-lh.googleusercontent.com/AYdbU6mGpSoCpJq2a5sw1O4Up5TV3UhyYMh8BgPCRlYCMxbOlYlIYGS4iUb6VE9bAioOhttps://play-lh.googleusercontent.com/_PHTW0Asx0wFeNfzh-NF3MoC-lipGr3GOhq7jJqkblnqJGXUWuBAoVdRi6E3Ppvfvs4https://play-lh.googleusercontent.com/nz7Xt0ufXMdM5FWAkavuk0NwzbSSzA2rOj_Iy82z_i2ZFwIRiOKd1LhM-OMdL2cmDAhttps://play-lh.googleusercontent.com/65BB859RbpQnAWKe-tk6U0b2VASyjLkR11lArxIsL-QjTnZzVvS8knHmgSA2sqf7xR8https://play-lh.googleusercontent.com/qvjeXL9RhPSgmVCVo5l88zS8fhWm1SX6pRZkqnPpk9AhJrCmj-wIyhNH979yIczuCghttps://play-lh.googleusercontent.com/Q_0hErncEjwm-bc4xIduKFqvv0o-7NgQjZHiBzZr0rusodTrH55q1rFUzjFG1MsFZghttps://play-lh.googleusercontent.com/o2V0NqubYZklSSKfQ4OxDFLot2k5TcIHX0lxjk6GDCaVMEsLqHOcFalGJ3QGkLKPyAhttps://play-lh.googleusercontent.com/2yP_Zs7Y6hejll8Y_2yjcRP4mF4TYny1VkP8F9sgCRr5uOnh-_5i-rauqLcQot9Uuwhttps://play-lh.googleusercontent.com/n35Ayc44ndjYXlI4qqdiqiYko--JXT66BXJezD07Y1tGiuE_IAeYf8cAXp35TXV8BRshttps://play-lh.googleusercontent.com/K7It3RzeEnDF_QVQwAkphY0mdL0t7tdtcms4xM-fHrulIiLbACG9c3_Z3XjEy6SXbBshttps://play-lh.googleusercontent.com/EXmqxS3NgPONA_9ZtKydUo5uX0YxK3gMqW08gw1kzq-WGxiLolm6gh-fQh7770s5lTghttps://play-lh.googleusercontent.com/BlCSUZzS_w6JmCcNn_FTvu0jfu0YHQEnboWXhWDV9qAn9MGleil1QH5sHbFhRccIzg
Loading...
Loading...

Find growth insights on our blog

React to user feedback and market trends faster