Hadithi watoto kitabu
source

Hadithi watoto kitabu

(18 399)
Price
Free
Category
Education
Last update
Jul 18, 2024
Publisher
IDZ Digital Private Limited Contact publisher
Loading...

Ratings & Reviews performance

Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.

Number of reviews,
total
18,399
Avg rating,
total
⭐4.5
Loading...

Description

1837 chars

**Tuzo Ya DHAHABU Ya Chaguo La Kinamama - Mshindi Wa Mwaka 2019 ** Muda wa hadithi ni muda wa kujifunza na 'Kidlo Hadithi za Wakati wa Kulala kwa Watoto'! Soma hadithi 240+ za kusisimua zikiwemo hadithi za wakati wa kulala, Aesop's Fables, Hadithi za kufikirika, Hadithi za awali. Hadithi za Tabia njema na zaidi! Vitabu vyote vya hadithi katika maktaba hii ya kidigitali vinapatikana katika machaguo mawili: 'Najisomea' na 'Nisomee'! 'Najisomea' itamsaidia mtoto wako kuongeza ujuzi wa kusoma na 'Nisomee' utaongeza ujuzi wa kusikiliza! Unaweza pia kuwasomea hadithi watoto wako. ni njia nzuri ya kuwalea watoto na kushikamana nao ukiwa unawasomea hadithi za wakati wa kulala :) Katika mkusanyiko wa hadithi nyingi za watoto utapata vichwa vya habari maarufu pia! Baadhi ya hadithi maarufu ni: *Cinderella *Kitambaa Kidogo Chekundu *Guruwe Watatu *Kunguru Mwenye Kiu *Mvulana Anaelia Kama Mbwa Mwitu *Mbweha Na Dhabibu …na zingine nyingi! Utapata waigizaji wengi, madhali na dunia kwaajili ya watoto wako waweze kuvumbua kwenye app hii! Hivi utavipata ndani ya Kidlo Hadithi za Wakati wa Kulala: - Kila neno limesisitiziwa kwenye kioo ili kuwasaidia watoto waweze kusoma vizuri. - Ina uhuishaji wa kushirikisha ili mtoto aweze kushiriki. - waigizaji wa kuvutia walio uhishwa ili kuwafanya watoto wasisimke kwa furaha! - Ubao wa mafanikio uliojaa zawadi, ambazo zitawaamasisha watoto kusoma zaidi! -Vitabu vya hadithi vilivyopendekezwa kulingana na mapenzi ya mtoto. - App ya kawaida na rahisi kutumia! Ni maalumu kwa watoto chini ya umri wa miaka 5 - Hadithi nne bure kusoma. Hadithi zilizobaki zitakuwepo ukijiandikisha Pakua app SASA na ufurahie hadithi zote za kuburudisha ukiwa na mtoto wako. :) Kama ukihitaji msaada au unamarejesho, tutumie barua pepe support@kidlo.com.

Screenshots

https://play-lh.googleusercontent.com/c6Bd5KDthAvKA-CfvOUgPrnqNePdQQmmLy2k-P_gN10L9ZtIz2J3JumzqzVPqK0RDAhttps://play-lh.googleusercontent.com/BTVns6MStAKCku1vL4e5cd6Kq5bOHS6kgNY1Ph5e7JCLGbgl-1w9rG8ftAqiDsTm7ZQhttps://play-lh.googleusercontent.com/R6keI3Du3QGnv4AoikMTETnPqpJg8hzaOi-oB4EB32601vbgh-CBZvVfSbJgpQmB_eohttps://play-lh.googleusercontent.com/-1iW9pulNqCgIlLRcFmN8g2GMYKE8Mh9FmSSerf2pE74s_4fe8WENa47yblaoprncAhttps://play-lh.googleusercontent.com/NXBfrcSBbUQ3Vt1SfbXNhivUO8iCAJhDIX9Yi6TpPVTS6FG9QGzURqy1rjmbL0bauQ0https://play-lh.googleusercontent.com/d0hWz753tlAPlOrLOHyaN8qZaOSAcrzE2TnXp73eJk3euOoto7S_P6MtFg3jQ6VhWkgwhttps://play-lh.googleusercontent.com/Nq7ddQBlRAB-oLiL-_mIEiLidqUpuPULMC5_DkWDeEmRzxLcJrxBfTbFktAxdQKaAAohttps://play-lh.googleusercontent.com/yVik7JsNXgyrNF6dvTmfQ_NGFPrxQqlWjj14Ley_AxM3Kxwo-Mf3PElhVZJnftvY_Qhttps://play-lh.googleusercontent.com/up5vFSfr3Tc23SOlHexliIXNfV411cIFg7i03sZ5K3YilgnAH4bDXyvooGMRoE5StNkhttps://play-lh.googleusercontent.com/b4t4uiOMYN6ZadEFKmP82eU1VlHn226nJZOGw_ko0iZpjNrah1ikRR2DL53jrI-twbQhttps://play-lh.googleusercontent.com/r6zeH6Ma52gjeoOKUVcokuGo0y_Eb1dswXVDnqq7RLQbbvPhyU4ISGSWb7YSXlMAV3ohttps://play-lh.googleusercontent.com/wd-nPDcCoWqVCMYqMyEhuguLiv0HEuNQniDycqrEK2QqjIWN9QUzVGW52n5WT9bLE7Ahttps://play-lh.googleusercontent.com/t5p_ZBalN0eXWbJwjRN5WAPvfA6FU7PFAoOpLKOHYPrjY8dfAn5RkBhlXz_KCGkf8SuKhttps://play-lh.googleusercontent.com/WlAjHF1M0gbKNND6FhzgxoJosHRIcCArECXe9pkz9o4NSdJgUzu4sNncZ_WrZHwINSQhttps://play-lh.googleusercontent.com/tcZbhN_mfAWk-OEIgVCd8vlgS3b6KsivAnYk79lW00g4Aj-e9r3Pj6QI43VcOjCXjHIhttps://play-lh.googleusercontent.com/uXgm3ytYCsqsyHlh0O_LFJ5-TNwooDiCtaFajRVfztZCkOgR8jdEOEXxuTUjbRp_hwhttps://play-lh.googleusercontent.com/73pJKC2Gyet-0uzzIwyvPQXk-_q5UPWl3BdIJVia1bI08Dq2jqJowg1Rk6vR5zhfj0Uhttps://play-lh.googleusercontent.com/4QkTZFGRlNdyOeRIv8FgT7IQjCv8j6zTQRqK0VKODNjoiNRjAT75MACMq377OtPRGghttps://play-lh.googleusercontent.com/4zHlA--uwe7nSPTgnWufeePAaSHSWR-0Bj49TBtNmyWmP5LoE7cHmgkHWOpFQ6MdsAhttps://play-lh.googleusercontent.com/1fuBhCy0TCN_EP2EN1H5I7_CrUVHKn029vtkECGdUnj3Ty2ck8zZVP3vJz46yl3Mvzghttps://play-lh.googleusercontent.com/3Qd-DwOb9K9r3HAO6VpdV6sbqVRcMtli73eDz-TwWfu9rhXaF2SFZieDJdIUJZRbwQhttps://play-lh.googleusercontent.com/Us-exisRsDwDxbu9lM2OvbgCKZ3Ms2CtYcBbBwIsNE8ifT6bEeI8eP-9ifh7bc7RcqIhttps://play-lh.googleusercontent.com/2ecKT00O7gc_XSawnklPnPXfglpS1yMQTp0cIfI1WENobkc1jBOuE0GMgW-voLPLav4https://play-lh.googleusercontent.com/9JcdyMs7Y7w_BEF3eIEc6viovPgpI9KvRMoRfvzwDX79cO-JaiwQV34EGrXyiwGTUA
Loading...
Loading...

Find growth insights on our blog

React to user feedback and market trends faster