Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.
Nyimbo za Kristo ni program tumishi iliyotengenezwa kwa makusudi ya kusaidia usomaji wa nyimbo za kristo kwa kutumia iPhone, iPad na iPod touch ukiwa mahali popote!. Programu hii ina mambo yafuatayo: 1. Kutafuta Jina au Namba ya wimbo 2. Kusoma wimbo 3. Kusikiliza sauti ya wimbo 4. Kusoma noti za wimbo 5. Kutafuta nyimbo za makundi mbalimbali