Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.
Lengo la app hii ni kuwezesha upatikanaji wa haki kwa kuwapatia watoa huduma za msaada wa kisheria na jamii yenye uhitaji wa huduma hizo jukwaa linalowaunganisha na kutatua changamoto zilizopo. Lakini pia app hii itasaidia katika utoaji elimu na kuongeza uelewa juu ya maswala mbalimbali ya kisheria.Itawezesha pia upatikanaji wa mafunzo katika nyanja mbalimbali kama vile utafutaji rasmilimali na utunzaji wa fedha kupitia mtandao