YouTube Music
source

YouTube Music

(5 779 135)
Price
Free
Category
Music & Audio
Last update
Oct 03, 2024
Publisher
Loading...

Ratings & Reviews performance

Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.

Number of reviews,
total
5,779,135
Avg rating,
total
⭐4.4
Loading...

Description

2000 chars

Inakuunganisha na ulimwengu wa muziki: ● Zaidi ya nyimbo milioni 100 rasmi ● Maudhui ya muziki yakiwemo matamasha ya moja kwa moja, matoleo mengine ya nyimbo, miseto na maudhui ya muziki ambayo huwezi kuyapata kwingineko ● Maelfu ya orodha za kucheza zilizoratibiwa katika aina na shughuli nyingi Sikiliza muziki uliowekewa mapendeleo, unaofaa kwa kila tukio: ● Miseto na orodha za kucheza mahususi kwa ajili yako, zilizobuniwa kutokana na aina za muziki unazopenda ● Miseto iliyochaguliwa kuendana na vipindi vyako vya Mazoezi, Kupumzika na Kutafakari ● Buni orodha za kucheza kwa mapendekezo ya nyimbo au ushirikiane na mashabiki wengine wa muziki ili kubuni orodha bora ya kucheza ● Maktaba Iliyowekewa Mapendeleo ili uone nyimbo, orodha za video, wasanii na albamu zote ulizopenda na ulizoweka Endelea kupata taarifa na ugundue muziki mpya: ● Angalia miseto iliyoratibiwa kwa ajili yako kama vile Miseto ya Gundua na Vibao Vipya ● Gundua muziki kulingana na aina (Hip Hop, Pop, Country, Dance & Electronic, Blues, Indie & Alternative, Jazz, Kpop, Latin, Rock, na zaidi) ● Gundua muziki kulingana na hali (Tulivu, Kujihisi vizuri, Kuongeza Nguvu, Kulala, Kutafakari, Mapenzi, Mazoezi ya Mwili, Safari, Sherehe) ● Gundua chati maarufu kutoka kote duniani Imeboresha hali yako ya usikilizaji kwa vipengele vya kipekee: ● Maneno ya wimbo ili uweze kuimba nyimbo unazopenda ● Badilisha kati ya sauti na video kwa urahisi ● Sikiliza kwenye simu yako, kompyuta ya mezani, spika mahiri, TV mahiri, gari, saa mahiri na kwenye programu unazopenda. ● Ongeza Kigae kwenye saa yako ya Wear OS ili ufikie muziki wako kwa haraka. ● Inaoana na programu ya Mratibu wa Google, Ramani za Google, Waze na zaidi. Jisajili kwenye Music Premium (inapatikana katika nchi mahususi) ili ufurahie: ● Sikiliza muziki bila matangazo ● Cheza muziki chinichini ● Fikia muziki uliopakua, ikiwa ni pamoja na uliopakuliwa kiotomatiki ● Badilisha kati toleo la sauti pekee na la video kwa urahisi, ukitumia YouTube Music pekee.

Screenshots

https://play-lh.googleusercontent.com/0it0y-8bzVoC9oYulMN4XKc010RETCPKg-m95fSX3xVx12VywVEQ49N-9W7h43m6Zq0https://play-lh.googleusercontent.com/TdmmikwOg3QxtPT3O8KUbWZDFga3BS14zcX8YbzDayiRBYt6AJZM8gpFJPoiYkN4EqYhttps://play-lh.googleusercontent.com/HYtdPDNV49wcuEvo_0fJ-5zaZghGjCJJIDFLOU-FoaPsVC0DfwG9O6RT5lFxn2Pdlghttps://play-lh.googleusercontent.com/nlwXJKp9STW6ui3tL3y8cfnuVo2tNKVM3mCO4twk9LcK3W-1ZlHG5zM-jmaq8NZS1PIhttps://play-lh.googleusercontent.com/5BC6lfgXQ7YgNd5JtXq3ARM-v1VRuUa4fHcHPQMVhFErKaNUmRCLswEuC6vrJkkrswhttps://play-lh.googleusercontent.com/aMKWQ009BAApJC2tLRUQGt6ek928AIKqZzJBFR-9fQ34BxdTExZzHTXrmBcSVY7INNMhttps://play-lh.googleusercontent.com/3gHjko_O1Yy4Do7UEHjRkLCW4YWp-71fbsihmReTb8paqvmbu5qzAhK6PP27TKg4Fowhttps://play-lh.googleusercontent.com/RGnus0taO_C-lHvUpYznUZprn0bd-7fAN_jeo79jJLyiroKMZiRkaHBSNr07l5nvnAWchttps://play-lh.googleusercontent.com/hpy01HLLOXtm1Mkryc2SstFESDxqXv3BIUNmzakuAITduA1bx3nbypNvwkxN75na1yghttps://play-lh.googleusercontent.com/MH0zR1LJgQocVOHVc_kjC7zGMJzioKKk58xAypJUt-7TkYZFGgdNJFsc9J3HGdxWKyshttps://play-lh.googleusercontent.com/KtWEpBRSRutuvDFcQu0E0XhGUEikuPwVALuoWMKNk2-oMUqyiX0_EokhVpad5p-upGAohttps://play-lh.googleusercontent.com/HVy73yc6f6NdGh2a6yddjwNiTjfC6-PXIDqW__lU7pbnUpYx2JaCw-XiMnpflG0YBwhttps://play-lh.googleusercontent.com/1FPY9baPFPFw_OOuQUY6q5nAcO_D07iSWFh8icM0A95_fnYqWeIWLpqkVknc8w6Vuo4https://play-lh.googleusercontent.com/AqWH8nATkKdMpEcJkDNG8S3rq-RYSqkOOtIf_NlyN58ew-i3YcSoLfibIc8gALj5wHkhttps://play-lh.googleusercontent.com/DsUtTvSiIhZTv-xLarxSfJvZU7GGIFRncdQoA1882Euh_gO8aSoFznmNfHUR0IVAdVIhttps://play-lh.googleusercontent.com/CTeBPOpXezUARk9W8qB_aRCS7I1Es5LqFXbouZJ6wt2Ha_xnkNrwgavbHi5xNysjNwhttps://play-lh.googleusercontent.com/wDZdvEk9wDK2TvPLMxdlSBHwF5KADHJuiDo254tbLqrMcLBHtIitbAaBNTNwXg9c1Wghttps://play-lh.googleusercontent.com/zAaIHHhTFUpXp8IeJvzoiTgl20x48dECG7Zt82sRovK3Ub1ZvKsa_rDqLOJPru6NHgAqhttps://play-lh.googleusercontent.com/pMHOr7-Z62CguJx9F2WILNTM8cxh2YZvo8C0BEeEiRoKSrr0EIfND2WtPWFrwvyzMxchttps://play-lh.googleusercontent.com/Wfd-_Rzj7WbUDdvE02rZlRYmGuaGKIYonzeXbONzOwxs0BRRP6jO7fCi2PjNBHZMi9tbhttps://play-lh.googleusercontent.com/sghxlDn60KNSmab6hxNHK2ncg6QLLjnoUa1yw_oWdVnhIU42wbg9FdNfYVAXcWsHtAhttps://play-lh.googleusercontent.com/D5r_lnU6wM3MYjcuLMcwmqude0QRw3FWOZS2X58Nw2jpN_AhLE3c9-m66t44OF3NmqEhttps://play-lh.googleusercontent.com/0o10vXMupC92H8Z-osFPzSiZogQGRx3sar6baV_UFVMQoTZkfVaHZAr8rO6BN-_j4Qhttps://play-lh.googleusercontent.com/ljIi-HTwKt0jF6vJDfQUe9YsRCC_cK2jbbX5Y5KpzyBs9TYPIT2f9vaU0DZckNDC0QA
Loading...
Loading...

Find growth insights on our blog

React to user feedback and market trends faster