uTalk - Jifunze lugha yoyote
source

uTalk - Jifunze lugha yoyote

(1 871)
Price
Free
Category
Education
Last update
May 02, 2021
Publisher
EuroTalk Ltd Contact publisher
View in store
Loading...

Ratings & Reviews performance

Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.

Number of reviews,
total
1,871
Avg rating,
total
⭐3.9
Loading...

Description

3635 chars

Jifunze lugha yoyote kutoka lugha yoyote nyingine - uTalk hukuwezesha kuchagua hasa lugha unayotaka kujifunza kutoka lugha 140+. Na unaweza kufanya hivyo - kwa kulandanisha au nje ya mtandao - kwenye kifaa chochote. Ikiwa imeundwa kutokana na uzoefu wa miaka 25 kutoka kwa ziadi ya wateja milioni 30 duniani kote, uTalk ndiyo namna rahisi, ya kufurahisha na fanisi kujifunza lugha na kupata matokeo ya papo hapo. Kujifunza kutoka vifurushi zaidi ya 55 vya maudhui vilivyoundwa kwa mikono na utapewa maudhui zaidi bila malipo unapoendelea kujifunza. uTalk ni: Rahisi - jifunze mambo zaidi au kidogo utakavyo. Watu waliojisajili wanafurahia uhuru wa kujifunza kitu chochote kwa lugha yoyote; zaidi ya mada 7000 za kipekee. Kuchagua kutoka kwenye vifurushi vyetu vilivyoratibiwa au kuchagua mada za kando ni namna kamilifu ya kuhusisha maudhui yetu maishani mwako. Inatia motisha - kufurahia kitu ndiyo namna bora ya kuendelea nacho. Kwa hivyo unapoendelea kufurahia michezo ya uTalk, utapewa sarafu na mafanikio ya kufungua muadhui zaidi. Unapojifunza zaidi, ndiyo unavyopata zaidi. Inatumika kwenye majukwa tofauti - itumie kwenye kifaa chochote na unedelee ulipowachia mara ya mwisho. Kila kitu kinaendelea kikiwa kimelandanishwa na kufanya kazi nje ya mtandao kwa ukamilifu - barabara kuepuka kupata ada nyingi za utambizi ukiwa ng'ambo. Ya kufurahisha - ina michezo katika viwango tofauti ya kucheza haraka au kupitisha saa ukifurahia. Halali - tunatumia wazungumzaji na watafsiri wa kuzaliwa kukuletea maudhui yote katika uTalk, wakihakikisha unajifunza kuzungumza kama mzaliwa. Mahiri - programu maizi zinajua unachojua (na unapohitaji usaidizi zaidi), na kukupangia michezo ya kipekee kwa kiwango chako. Inafaa kwa Matamshi - katika uTalk, wewe ndiyo nyota. Sauti yako inakuwa sehemu ya michezo unayocheza, kukusaidia kufunza sauti na usikiaji wako huku ukizoea ulichojifunza. Onyesho - picha zetu zinazovutia zinaunganisha maneno na picha kuharakisha vile akili yako inajifunza, ukitumia ukumbusho wa picha kukusaidia kukumbuka lugha yako mpya. Kiingereza (US) Kiingereza (Uingereza) Kifaransa Kijerumani Kihispania Kiitaliano Kirusi Kiholanzi Kireno Kiswidi Kinorwe Kidenmaki Kifini Kihungari Kigiriki Kituruki Kiebrania Kiarabu (Misri) Kichina Kijapani Kiwelisi Kimalta Kicheki Kislovakia Kroeshia Kiserbia Kibulgaria Kipolandi Kiromania Kihindi Kiurdu Kizulu Kiswahili Kitswana Kiajemi (Iran) Kiaisilandi Kiafrikana Kimalesia Kiindonesia Kitailandi Kivietinamu Kikorea Kitokpisin Kiayalandi Kialbania Kireno (Brazili) Kichina (Hong Kong) Kibengali Kipunjabi (India) Kimarathi Kiassam Kikannada Kigujarati Kimalayalam Kitelugu Kitamil Kisindhi Kilatini Kislovenia Kisardini Kikatalani Kibasque Kihispania (Amerika ya Kilatini) Kigaeli cha Uskoti Kiestonia Kilatvia Kilithuania Kiamhari Kihaiti Kiigbo Kiyoruba Kikambodia Kilaosi Kifilipino (Kitagalog) Kiukrania Kinepali Kijerumani cha Uswisi Kiarabu Sanifu cha Kisasa Kisomali Kimaori Kiburma Kilasembagi Kipashto Kikurdi cha Sorani Kihausa Kijojia Kimasedonia Kiarmenia Kimongolia Kishona Malagasi English (Cockney) Kiingereza (Australia) Kiingereza (Australia) Kikalaallisut Kikurdi (Uturuki) Kisinhala Kikazaki Kiazabajani Kibelarusi Kiuzbeki Kikirigizi Kitajiki Kiturukimeni Kinyanja Kisamoa Kachchi Kitumbuka Kiganda Kigalisi Kitigrinya Kiajemi (Afghanistan) Kicebuano Kibosnia Kibemba Kiesperanto Kifiji Kiholanzi (Ubelgiji) Kiilocano Kijava Kioriya Kiwolofu Kihispania (Ajentina) Kiarabu (Moroko) Sicilian Kiskoti Kiingereza (Uskoti) Kiingereza (India) Pijini (Nigeria) Kioromo Kipunjabi (Pakistani) Kisami (Kusini) Neapolitan Ladino Wu Kichina (Shanghai)

Screenshots

https://play-lh.googleusercontent.com/lx8O5rOKkGuVuuLdb_GEalzV8Hm09XPHV4bUcsMX3lRMUT9rqSqhLRhIMv_rTRxDnlY=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/ui74YRmiepL7KMXa6Vr32ASvi6c0Fkm4GTWmZk1ouqAWNs2MPGfykF_zb7sVbTAodg=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/Eiv-7mRnGbzqqzYeuaNU4Wl9s6XZGpxkqZpOloi0vBijHVmJFc0c6K-e6tumDoS5Q1o=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/gAGL17Q0-jMAlIlO8b39xLSq5WsCBeCpyTuMpt69UO-4NqyqoQ_pV38F52TmeWczJQ=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/q9zeFUllQMDcH_9thMZ39ERXAVnNptPsBMXQRsBtipbdW0vnJTwWHpm10cSz-7t8HjsE=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/mSr4_BKPfWS-xSG9Mh3Xmdd90iuFDs_PscdWg1XZZ0nfSDNpLf1tl25J-IgtXJ1T3Ec=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/_XTM1gEOjsfgfC-DmzcU8DuNTfHgbR0KlCnzoQ2Sj386ux00Bn-7GeHS-JtWLUFJ9vKe=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/s0EWOlX6rxCGHx_hmBw011agapVxk0PabRGCNiqF4pkXDwRwgoeWUxAU84O6yCCKp_ai=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/yyPYaM8s_dD3he-xvgqDYgYpQO_JgjM7eXmRx9utL0_9y2g5CMRQHHtdfJW5Df8w8psH=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/UkEWhiFBa2-5N4xJKC9opt54iNBoJj-KG6YjR6JOW8UR1rl9hrRt213qsrsKiZD2pA=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/lNyB4phfnZJXHPxc7YYhqI0cCGdwa5lvjizZtjbZ6WHiDvYioD_gh0iMOSKfe9FVGvfV=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/A88aq3hR7fKfBNl4a6U2lAo3byB80d8sCJr1Eq7F4tBupB3kEtJJdxKDQN1Fhnnf9g=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/dCRp24uOLhstogBFPG3eSme4vCansYdughK7o9jDL_q3UXuxV6CRWBqlE0TCEMbBTgk4=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/WS3MTIyCrT2oXjUZg7aUVJiFFEoJgm8EhhK_fSWv_mbjcLlD4hVC4_5jYwxkS5b8SMI=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/1zqh3ag0dzkLeoBs7h7o1t8xx6KzwXXhWQPNBYVAHC1BEl2hfph4whKECybVzAoaaA=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/kt1eXLZu90z_JywcZ4ZxVF82-X6ZkViP6W22OiM1wRPoBN5BSGUzMbgAF7tRL459DNc=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/B_rtpPGoRbjkcvWmrBcX6Jntazibe6yK2oPRULSsOW2n8MH0GrVptsVn3zX76feV0wq5=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/DUd663QxK2J7e2poNL_zyUV4XMo0vGnOZjKBYEiIRHnc7OTAiTH-P7IeYQe1LnlxElbR=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/ydtgZE9tpMgsY8-i_Ua9qW3bgT1QaZ3ZH0TRhppVq3Kjn8hr9d2OeSiycTiT13b5UG8=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/fudNJdBF84W4MWFzz_k7iMj8U3hqafRFX2Y_UvzSNLmTk3syYxxtt1JYYB8MhNgiKQ=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/dkQt-pOK7CwxFYCyvJH2jR5X08fO1lrfgbBPNq3yovAo2ks22HnAayJ7ANfr6mc_pyNT=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/H0cricDlIG0gldQ3KaW2tM5pf-xzpwutbXo38ScrECjbMg1hZqZ1cti1m4D8H81KSQ=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/Mzetv4bYsNUmM_xbkJd_683F0ZYFxdR4gFuJjBGGs4bQWTDJNF0cJivtMSJJ3NZomXE=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/QWf74dewUQZFaa-wmMLoGqfTWoCaBGi27JpvU_BsdQ8oelnZq7_cvPcTrwVIs-8EgMY=w720-h310
Loading...
Loading...

Find growth insights on our blog

React to user feedback and market trends faster