Tenzi za Rohoni Pro
source

Tenzi za Rohoni Pro

(23)
Price
$1.99
Category
Books & Reference
Last update
May 29, 2021
Publisher
Robert Londo Contact publisher
Loading...

Ratings & Reviews performance

Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.

Number of reviews,
total
23
Avg rating,
total
⭐4.3
Loading...

Description

1009 chars

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote. App hii ina nyimbo za dini 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini, unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti (Offline) Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Wakolosai 3:16 FEATURES ★ Tenzi za Rohoni 138 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini. ★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline) ★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi. ★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote ★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo ★ Kuongeza ukubwa wa maandishi ★ Kuchagua aina ya fonti za aya ★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Screenshots

https://play-lh.googleusercontent.com/mPp4ryBZvWPCVwMslZfLTTXchvEWzvjASEFZ4cpjR-tZJeveW82pMwrFZkC6JB7eBA=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/wFQRz3NbEPkKmAmp1lJK9kQFSbPpj3s3I67J3M9Vv7YCTFcAmXNVUVi9P4Rzp9g4fZc=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/AcAblaQuyCKMahB8jcVF5CjaE4bHUFBVEuQ9uKJlhUGfyTK8F-3_91znJJByp-grKt0=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/4lwpJVaqolTMw0b0TRndIRIzlosaRp3CK1ux61LCElRuwWEpiLX6u6rlbwBDEAbEYyU=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/yLonpj_u_94MDh8N-CKbnYXlbo8sO_UEqtLArqDYNh09ITbZzy5_WQir54x5ps0ijyIr=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/-tjF5yf2suMJJWgdHzwsR-JC4TlnAJ07iaLUFkVO-K7OBC2lVhdTDrFncmOply_Gfw=w720-h310https://play-lh.googleusercontent.com/lItqsnzg4uJb6cQHBsf1ADLw4lpjYBaTLQu42loOazgGSTCFgeejQZ2NGmSm9i_lUdY=w720-h310
Loading...
Loading...

Find growth insights on our blog

React to user feedback and market trends faster