Lado Mania - Michezo ya bure ya Ubaoni
source

Lado Mania - Michezo ya bure ya Ubaoni

(20 921)
Price
Free
Category
Game Board
Last update
May 03, 2021
Publisher
Touchzing Media Private Limited Contact publisher
Loading...

Ratings & Reviews performance

Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.

Number of reviews,
total
20,921
Avg rating,
total
⭐4.1
Loading...

Description

1460 chars

Tunatambulisha mtazamo mpya wa michezo ya Ludo. Mchezo huu wa kufurahisha wa ubaoni haufanani na mchezo wako wa kawaida wa dhumna. Huu ni moja ya mchezo wako pendwa katika michezo ya ubaoni kipindi cha utotoni katika MUONEKANO mpya! ni mchezo wa wachezaji wengi ambao unafaa kwa watoto na wakubwa. Jiunge na mashujaa hawa kuwashinda maadui na uwe mfalme wa mchezo huu. Cheza mchezo wa Ludo katika aina 4 tofauti BURE: Wasifu wa app hii ambao utafurahia zaidi: Namna ya Wachezaji Wengi Bila Mtandao Ludo mania ni mchezo wa ubaoni wa dhumna unafaa kwa watoto na wakubwa. Unaweza kufurahia mchezo huu bila mtandao ukiwa na marafiki na familia - muda wowote, mahali popote. Shindana na wengine na uwashinde katika mchezo huu wa kifalme! Shindana na Shirikiana Mchezo huu ni wa kushindana kuanzia kwanzo. Usiwaache maadui zako washinde taji na kuwa wafalme. Kanuni ni kama mchezo ule wa asili. Ludo mania unakuhakikishia raha na furaha kwa kila mtu! furahia Uhuishaji wenye aina ya 3D mashujaa wote katika mchezo huu wana uhuishaji bora wa kupendeza. Mchezo wa kale wa Ludo pia unapata mwonekano mpya wa 3D ndani ya mchezo wakustaajabisha wa watu wengi. Mtazamo Mpya wa Mchezo Maarufu Mchezo huu ni tofauti sana na michezo mingine ya dhamna. Ludo mania umechukua mchezo wa asili wa mchezo wa ubaoni wa Ludo na umeufanya uwe wa kufurahia zaidi kucheza kila siku! kwahiyo zungusha dhumna na uanze safari katika kupata taji. Kuwa mshindi leo! Pakua sasa!!

Screenshots

https://play-lh.googleusercontent.com/xvZCWJnGWVjWlPeSjrqqv1QxtTcEciDtArsbTX8tNr4rIHEkP1P0tZFgS7f9VAYSDw=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/TbdQe7ipF1yA1f-lsrnnSNXYXOADY7L0_nZt9GWAPXXNb4nSBRIGkvJZsm885Mab0AM=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/LXmB4pu62d_ZMW4yGNc_ny1qjjunptowi1KJXVgFvZFN-2MQrveBHVDgX6y4cZXAPtAY=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/Qwc3ZgwvfxfMlDwjKLAy3iY5va2PKHUqaIK8dA4aVXwsvIeKq27wR477AzQ4p9SbOV0=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/BgVtjDvUQ9UK293L9abUeLRy_gtAtDx3CTKl7EDHFU9mygz5spHn1iDs1GnJ14iuyA=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/llr8HWmxCKGyxHOXXRJ1bawMToplDRZxEF8YDwzZG8dCp-WWULY3sX5NheE4SUh9OQ=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/u47GX7M1-ERei8NJDnczHcmfs49wh1QXvqe-NL5WMmetBJ1_jrH54HdTgAkBeymhjaFl=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/YwMLVyDZqkmIfDQj6C5AJwqbklpn0ek_dChTopKgHBM7ApoUcOvj1K7mTSy1KHAtq2A=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/SWpXsAPOh-iCffsyXoacJ7AUEkXOFJPi30v731KqDuKJ3WHhWnJ2j5noqXShpYbwPXU=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/dQTXi-vOdIFniEULQnCWlfqDJi496ZLEAer0MIw4qOMlJhnXD7iVZQkcgQniTEOzWA=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/LzBe-BKABO0pBd-aVvqgA_NoXeeTK4cDCjlo-KklDRQSy8gu-fCdg6dSnk4Z85By02I=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/pTG99uf956Y65dJ-B2LU_9eNwY-bafYrX4Zhy2ttF2Rsa16AavTWr9wbHN-gnxoKPA=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/RdVcnVEBTDwZJy9bqEAYPu3swY6U9NZik8O_1eqQVdtj3pKKiZJlqb-rzopSn9ft9eg=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/wzyZcRvWOxML7tb9bo-OE3Tu5h6X22826tdbakvmFvyALkak1TSqoQ0UDtHNNbc8LQ=w720-h310-rwhttps://play-lh.googleusercontent.com/XWSiZ1xVqrw2xlhqmjUWIThJGvVSIZwfxbjfc-QvwgZDZZ7QAK693Z3IPPpzaj37Cfo=w720-h310-rw
Loading...
Loading...

Find growth insights on our blog

React to user feedback and market trends faster