Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.
Cheza, jifunze na kuzungumza – gundua virai vya kawaida vya mazungumzo ya Kijapani! ✔ Virai 5,000 muhimu vya mazungumzo. ✔ Kujifunza Kijapani kwa lugha yako ya asili (lugha 60 zinapatikana). ✔ Programu-tumizi bora zaidi ya BURE ya kujifunza haraka. Zungumza Kijapani kwa ufasaha katika mazungumzo halisi Ukiwa na programu-tumizi ya Kujifunza Kijapani, unaweza sasa kutafiti virai 5,000 vya Kijapani ya mazungumzo mafupi huku ukijiburudisha kabisa! Ikiwa wewe ni mtalii aliye katika likizo katika nchi inayozungumza Kijapani au pengine wewe ni mtu anayetaka kuongea lugha ya kigeni, programu-tumizi hii itakusaidia kujifunza virai vya Kijapani kwa njia ya haraka, iliyo rahisi na ya kufurahisha. Kwa nini programu-tumizi yetu ya BURE ni tofauti ✔ Hakuna muunganisho wa tovuti unaohitajika – cheza popote utakapo na wakati wowote unaotaka (nje ya mtandao). ✔ Virai 5,000 vya kawaida – sauti iliyorekodiwa ya matamshi na unukuzi kifonetiki ili kukuonyesha jinsi mzungumzaji asili kutoka Japani kweli hutamka. ✔ Michezo 11 ya kufurahisha – njia bunifu ya kufanya mazoezi ya ujuzi wako wa kusikiliza, kuandika na kuzungumza. ✔ Viwango 4 vya kujifunza: anayeanza, wastani, aliye juu kiasi na mtaalam ✔ Mada 20 iliyogawanywa katika mada ndogo 145 – hivyo utajua la kusema na wakati wa kusema kila kirai. Mada za mazungumzo ya Kijapani: Maamkuzi, Mazungumzo na marafiki, Sentensi za msingi, Usafiri, Uchukuzi, Hoteli, Mkahawa, Vyakula, Ununuzi, Kazi, Biashara nk. Vipengele vingi zaidi vya kuboresha msamiati wako wa Kijapani ✔ Tafuta na kualamisha misemo yako ya kawaida kutoka kwenye kitabu cha misemo. ✔ Jipatie pointi wakati ukiendeleza ujuzi wako wa Kijapani na ufungue viwango vyote bila malipo. ✔ Kipengele cha "kategoria za bila mpango maalum" kinakuruhusu uteu mada, mada ndogo na mchezo bila mpango maalum. ✔ Lugha 60 – ili uweze kukariri na kusema kila kirai kwa urahisi bila kujali nchi uliyotoka. Kuhusu FunEasyLearn: FunEasyLearn imeendeleza programu-tumizi nyingi ili kuwasaidia watu duniani kote kujifunza lugha za kigeni bila malipo. Programu-tumizi za FunEasyLearn huboresha ujuzi wako wa Kijapani: kuzungumza, kusikiliza na sarufi. Kamusi ya programu-tumizi ina matamshi ya sauti ya binadamu kwa kila kirai cha maneno ya kawaida ili kuboresha ujuzi wako wa kuongea lugha ya kigeni. Zungumza Kijapani kwa urahisi na kwa ufasaha kwa ajili ya usafiri, biashara au burudani!