Facebook Lite
source

Facebook Lite

(23 581 992)
Price
Free
Category
Social
Last update
Nov 27, 2022
Publisher
Meta Platforms, Inc. Contact publisher
View in store
Loading...

Ratings & Reviews performance

Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.

Number of reviews,
total
23,581,992
Avg rating,
total
⭐4.0
Loading...

User Reviews for Facebook Lite

Why to reply to reviews?face_screaming

User reviews affect conversion to installs and app rating. Featured and helpful reviews are the first to be noticed by users and in case of no response can affect download rate.

Description

2389 chars

Ni rahisi na haraka zaidi kuendelea kuwasiliana na marafiki ukitumia programu ya Facebook Lite! Tumia programu ya Facebook Lite kama programu ya kuwasiliana na marafiki kujiunga na kuendelea kuwasiliana na watu unaowasiliana nao mitandaoni. Programu ya Facebook Lite ni ndogo, inakuruhusu kuhifadhi nafasi kwenye simu yako na kutumia Facebook katika hali ya mtandao ya 2G. Vipengele vingi vya kawaida vya Facebook vinapatikana kwenye programu, kama vile kushiriki kwenye Ukurasa, kupenda picha, kutafuta watu na kuhariri wasifu na makundi yako. Vipengele maalum ni pamoja na: * Tafuta marafiki na familia * Weka machapisho ya hali na utumie emoji ya Facebook kukusaidia kuwasilisha kile kinachoendelea katika ulimwengu wako * Shiriki picha na picha za utani unazopenda zaidi * Pata arifa marafiki wanapopenda na kutoa maoni kwenye machapisho yako * Tafuta matukio ambapo watu wanajumuika pamoja mtaani, Jibu Mwaliko na ufanye mpango wa kukutana nao * Ingiliana na marafiki zako kwa kuongeza maoni na hisia zako binafsi kwenye machapisho yao kwenye Facebook * Hifadhi picha kwa kuziweka kwenye albamu za picha * Fuata watu ili upate habari za hivi punde kuwahusu * Angalia biashara mitaani ili uone ukaguzi, saa za kazi na picha zao. * Nunua na uuze mtaani kwenye Facebook Marketplace Programu ya Facebook inafanya mambo zaidi yanayokufanya uendelee kuungana na marafiki na mapendeleo yako. Pia ni mratibu wako wa kibinafsi kwa kuweka, kuhifadhi na kushiriki picha. Ni rahisi kushiriki picha moja kwa moja kutoka kwenye kamera yako ya Android, na una udhibiti kamili juu ya picha na mipangilio yako ya faragha. Unaweza kuchagua kuhifadhi picha za kibinafsi kwa faragha au hata kusanidi albamu ya siri ya picha ili kudhibiti anayeitazama. Programu ya Facebook Lite pia inakusaidia kupata habari za hivi punde na matukio yanayoendelea kote ulimwenguni kwa sasa. Jisajili ili ufuate Arifa za Habari za watu maarufu, bidhaa, tovuti, wasanii au timu za michezo unazopenda zaidi kwa urahisi ukitumia programu yako ya Facebook Lite! Je, unapata matatizo katika kupakua au kusakinisha programu hii? Angalia https://www.facebook.com/help/fblite Je, bado unahtaji usaidizi? Tafadhali tujulishe zaidi kuhusu tatizo hilo: https://www.facebook.com/help/contact/640732869364975 Facebook inapatikana tu kwa watu wenye umri wa miaka 13 na zaidi. Masharti ya Huduma: http://m.facebook.com/terms.php

Screenshots

https://play-lh.googleusercontent.com/SsG_Sj0ICoS_EUjBWaIYDW-hGlxHwLqisIhi0sKKgWsyGnd6GiFxuncIQ10OAgiPqghttps://play-lh.googleusercontent.com/ipBKq2CX9ZqVNy3zgYtGGyZRMxXhDI0MAeCNBMCMDizALuVbdpFle_AunVY_i77hQQhttps://play-lh.googleusercontent.com/BjGH_DiIEe9h9IjBHYf10ZGphmIcjl3xkyUTgAGyzCUGR1p-7DmxTvWVcwaGrsjUhAhttps://play-lh.googleusercontent.com/_qzb96QPH1rXb7RUnf4XpN5vdfkBcPvmfYeDYx2987I6HSO38yG7Lza6cpYxAQZuzghttps://play-lh.googleusercontent.com/VTZh5wNFy2c4vNGy6jxChcFs27QbRgT_5ZSub4Ve30f91Grk3gyEZLNuP4Ze8DL37-0
Loading...
Loading...

Find growth insights on our blog

React to user feedback and market trends faster